Bensoul Chupa Kwa Chupa Lyrics (feat. Harmonize)
Huu
Sina Ex
Sina noma
Niko best
Nimechoma
Nimeoga
Pamba napiga safi
Nyama nakula turkey
Niko on
Niko form
Niko job
Niko show
Niko home
Niko ndom
Nakuwarn
Na cologne
Am a bomb
Am a storm
I go on
For so long
Maafaka can’t injure me
Ye ye ye ye
Chupa kwa chupa , Vunja mifupa
( Aloniacha leo anajuta )
Chupa kwa chupa , leo sina pupa
( Tunajirusha usiku kucha )
Ye ye ye ye
Chupa kwa chupa , Vunja mifupa
( Aloniacha leo anajuta )
Chupa kwa chupa , leo sina pupa
( Tunajirusha usiku kucha )
My gosh
Mitungi ya shisha inanipa moshi
Ona kama vinywaji havitoshi
Kumbuka Konde kaja na Poshy
My gosh
Mitungi ya shisha inanipa moshi
Ona kama vinywaji havitoshi
Kumbuka Konde kaja na Poshy
Unataka nini sasa?
Nairobi au Mombasa ?
Bad Boy Konde nairombosa
Sinaga show za robo saa
Unataka nini sasa?
Nairobi au Mombasa ?
Bad Boy Konde nairombosa
Sinaga show za robo saa
Chupa kwa Chupa
Miuno kaa Fally Ipupa
( Aloniacha leo anajuta )
Chupa kwa Chupa
Ukitaka nina kupa
( Tunajirusha Usiku kucha )
Chupa kwa chupa , Vunja mifupa
( Aloniacha leo anajuta )
Chupa kwa chupa , leo sina pupa
( Tunajirusha usiku kucha )