Bensoul – Forget You (Mom’s Tribute) Lyrics

Bensoul Forget You Mom’s Tribute Lyrics

I’ll never forget you
I’ll never pretend to
Tumepita kwenye Jua
Tumepita kwenye Mvua
You have always been so true
since you came through
Ni heri ungejua wengine sitajua
Saa zile mi ukuwazanga sana
Picha zinakuwanga za maana
Yule anapanganga ni maulana
Na so siwezi ngoja

Mpaka vile tutaonana
Na na na na na na na na na na na
Mpaka vile tutaonana
Na na na na na na na na na na na
Ohh
Na na na na na na na na na na na
Ohh
Na na na na na na na na na na na

Show me that greenlight
Tell me you’re alright
Je uko na dawa umepiga shower
Deep in this dark night
I all be your moonlight
Hata bila power tutakuwa sawa
Na kama unaniwazanga sana
Mi na wewe tunafanana
Najua pia wewe unang’ang’ana
Na so siwezi ngoja

Mpaka vile tutaonana
Na na na na na na na na na na na
Mpaka vile tutaonana
Na na na na na na na na na na na
Ohh
Na na na na na na na na na na na
Ohh
Na na na na na na na na na na na
…..
I’ll never forget you
Oh oh
I’ll never pretend to
Yeah hey
Ooh oh
I’ll say our name
Na na na na na na na na na na na(yeah)
I all never forget you
And i all never pretend to

( Heavenly chants )