Bensoul – Nairobi ft. Sauti Sol, Nviiri the Storyteller, Mejja MP3 Download | eaVibes

Bensoul – Nairobi ft. Sauti Sol, Nviiri the Storyteller, Mejja

Bensoul Nairobi
Bensoul – Nairobi ft. Sauti Sol, Nviiri the Storyteller, Mejja

Bensoul Nairobi Mp3 Audio

Kenyan talented singer, Bensoul comes through with a new single titled “Nairobi“, the heart of Kenya.

Bensoul’s new record “Nairobi” features the likes of  Sauti Sol, Nviiri the Storyteller and Mejja.

With production credits from SoFresh.

Listen and share your thought below:

Bensoul – Nairobi ft. Sauti Sol, Nviiri the Storyteller, Mejja MP3

Bensoul Nairobi Lyrics

Habari mbaya zimenifikia
Mandugu zangu wananikulia
Kumbe sahani yangu ni sinia
Na inaniuma sana

Yule mpenzi niliaminia
Nikamueka mbele ya dunia
I must be trippin’ nikikurudia
Umenitesa sana

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana mama

Marashi yako yalinivutia
Siku ya kwanza ulipopitia
Kumbe si mi pekee nilinusia
Yolanda ya lavender