Bien – Lifestyle Lyrics

Bien Lifestyle Lyrics (feat. Scar Mkadinali)

Lifestyle
Kipara bila pesa kidonda
Cheki dame yako anakutoka
Wananitanga maradonna
Juu mi huwakata nikisonga
Usipandishe mrembo boda boda
Hio ndio siku ya mwisho utamuona
Usiulize ka niligonga niulize kile niliona
Aai aki ya mama nasare dry fry
Na kupigana bila mundai
Vidole mbili weka pwace sign
Hizo zingine weka inside
You know I pull up like a G
Shore ameweza she a freak
Hakunanga kitu ya free
Nagusa nuone ka ni real

Lifestyle
You kbow they live me for the
Lifestyle
Niite illuminati kumbe
Lifestyle
We unasema ni bhangi kumbe
Lifestyle
Top G me ndio big propella
Lifestyle
Haga bigi imejaa kwa dera
Lifestyle
Na inaclap na inaclap na inaclap

Maisha fiti na marafiki tunaungua
Na si cheatinv kama wifey anajua
Mziki hailipi basi ni vipi nina ganji
Mshikaji keti uone vile kwa mic nachafua
Kikulacho ndio hio hapo inaksumbua
Tunajua ni bibi yako ukimuanika tunaanua
Bidii jasho ndio hio dinga utanunua otherwise piga kalesa na ikikuuma unaeza zua cheki
Lifestyle kuna wenye inawawasha
Lastvyime tulikataa kuperform Naivasha
Ndani ya 110 nawapita ka za nascar
Nilikuanga wanted lakini sa hii wananitaka
Si ni funny huh
Vile hitsong imefanya msupa atake kunizalia
Swali kubwa najiuliza mi ni chali ya?
Swezi sema juu ni hali ya?

Mandamano maandamano
Wamepandisha bei ya avocado
Cheki ka imeiva ifinye ka piano
So kabla show nilipe full price
Hapa duniani niko na 1 life
Mzinga lazima kwanza baptise
Kwa nyonginyo niko na halflife
You know I pull up like a G
Shore ameweza she a freak
Hakunanga kitu ya free
Nagusa nuone ka ni real

Lifestyle
You kbow they live me for the
Lifestyle
Niite illuminati kumbe
Lifestyle
We unasema ni bhangi kumbe
Lifestyle
Top G me ndio big propella
Lifestyle
Haga bigi imejaa kwa dera
Lifestyle
Na inaclap na inaclap na inaclap