Country Wizzy – Judiana Lyrics

Country Wizzy Judiana Lyrics

Daz naleddddge

I fell in love na mtoto Judiana (Yeh)
Anataka nimpende nimpende ile sana (Grr Grr)
Mtoto anapenda kuvaa ma designer (Baw)
Full brands gucci n prada na fendi
10times she’s ten over ten
I fell inlove na mtoto judiana (Yeh)
Anataka nimpende nimpende ile sana (Grr Grr)
Mtoto anapenda kuvaa ma designer (Rraaa)
Full brands gucci n prada na fendi
10times she’s ten over ten
I fell inlove na mtoto judiana

Sio tu kupoa mtoto ananukia
ukiacha mademu wanavyomuogopa
hadi machizi wanamuhofia
Mtoto ni pisi ya kwenda yani mpaka
ndugu zake wenyewe wananichukia
Yani anapoa asubuhi mchana jion ye
ndo bingwa wa kubadili gear Yeah
natoka nae daily out ili wakome so tunaenda check movie
Paraparazi wakituona wanajua oh yee hii news
Cameras,flash lights zote zinatuangalia sisi mzee
Dassh dash usiulize
Na judiana niko busy

I fell inlove na mtoto Judiana (Rraa)
Anataka nimpende nimpende ile sana (Grr Grr)
Mtoto anapenda kuvaa ma designer (Rraa)
Full brands gucci n prada na fendi
10times she’s ten over ten
I fell inlove na mtoto judiana (Rra)
Anataka nimpende nimpende ile sana (Grr Grr)
Mtoto anapenda kuvaa ma designer
Full brands gucci n prada na fendi
10times she’s ten over ten
I fell inlove na mtoto judiana

I fell in love na judiana
One of a kind yeah yeah na tunaendana
Bonge la Nyash she got from her momma
Outchea people going insane
so sex she’s 10/10
Mapenzi ndo kitu anapenda tufanye
again and again
Tunaanzia chumbani
Tunaamkia sebleni
Ni Kama utani tunatoka chumbani tunaamia jikoni
Nivile naheshimu jirani la sivyo angenipea uwani
Penzi letu liko wazi wala hatuna agenda
Utachagua wee kama hautopenda au kama utapenda
Penz letu liko wazi anyplace si tunakula denda Yee

I fell inlove na mtoto judiana
Anataka nimpende nimpende ile sana (Grr Grr)
Mtoto anapenda kuvaa ma designer (Rraa)
Full brands gucci n prada na fendi
10times she’s ten over ten
I fell inlove na mtoto judiana
Anataka nimpende nimpende ile sana (Grr Grr)
Mtoto anapenda kuvaa ma designer
Full brands gucci n prada na fendi
10times she’s ten over ten
I fell inlove na mtoto judiana