Harmonize – Disconnect Lyrics

Harmonize Disconnect Lyrics, Harmonize ft Marioo Disconnect Lyrics

Mh!
Zombie sikutaji humu eeeh!
Yao yao
Mh! Bad
Zombie star
Abaah star
Jaivah star( aweee)

Mi mwenyewe mega suprer star
So utasema nini?
Khukhu khunanako ooo!
We catching vibe not feeling wenzako
Khukhu khunanako
Haters shut up, sura baya toka hapa

Oho disconnect
Disconnect
Oho disconnect
Disconnect
Oho disconnect
Yao yao
(Bomb bomb club)

Happy new year, yes new life
Mungu baba nitoe kwenye kundi la wafu
Wanaonichukia baridi barafu
Nguo zao safi moyo niwa chafu
Yes new life
Mungu baba nitoe kwenye kundi la wafu
Wanaonichukia baridi barafu
Nguo zao safi moyo niwa chafu
Na kama una bad energy stay far away

Uncomment utumbo na hujala ee
Na kama una bad energy stay far away
Toka na pigo zako za kifara ee
(kwendaa)
Shika shikonko kwenda sukuma
Baki huko huko kwenda sukuma (eeeh!)
I’m m**** f* super star
Hadi baby yako inanishangaa
Oya dear hater shut up sura baya toka

Oho disconnect
Disconnect
Oho disconnect
Disconnect
Oho disconnect