Harmonize Friend Zone Lyrics, Harmonize ft Ibraah Friend Zone Lyrics
Yow yow
Call me konde boy, number 1
Bakhresa
Man I miss my friend
Story za wapenzi wetu tukasimuliana
How to make love tukafundishana
Ingali bado wana
Tukacheka sana mimi nawe
Sa kuna mtu anasema mi namsema sana
Nachokumbuka tulimsema sana
Ingali bado wana
Tukacheka sana mimi nawe
Pindi bado tupo marafiki
Waloshibana kwenye raha na dhiki
Alihua bonge la shabiki
Nyie dunia mbona haitabiriki
I remember them say love is wicked
Et leo simu yake siishiki
Hata yangu kuna simu hazifiki
Bora tungebaki marafiki
Basi tena ataniita binamu kinyama cha hamu
Ikabidi nicome come come
Oooh alivyiona tamu kajifoa ufahamu
Hataki tena zamu zamu zamu
Hataki tena vya zamu
Anasema ananipenda
Mchezo ameupenda kweli
Hataki tena vya zamu
Anasema ananipenda
Et amezama kweli
Hataki zamu
Anasema ananipenda
Mchezo ameupenda kweli
Hataki zamu
Anasema ananipenda
Et amezama kweli
Hakudhani kama tungekuwa wachumba
Alijua tu anapita shida moyo umemdunda
Utani utamu umgeuka true love
Et anamiss mi hata nimshike mashavu
Nilikua namuita best friend
Siku hizi nikimuita rafiki hapendi
Nilichompa kimemteka anatekenyeka
Ajatekenywa anacheka
Akipiga simu ananiita binamu kinyama cha hamu
Oooh ololoo mbona tamu kajitoa ufahamu
Hataki tena zamu zamu zamu
Et hataki zamu
Anasema ananipenda
Mchezo ameupenda kweli
Hataki zamu eeh
Et amezama kweli
Hataki tena vya zamu
Anasema ananipenda
Mchezo ameupenda kweli
Hataki tena vya zamu
Anasema ananipenda
Et amezama kweli
Yow yow
Its konde boy
Call me number 1
Bakhresa
Konde Music Worldwide