Kayumba – Wapo Lyrics

Kayumba Wapo Lyrics

Wapo
Wapo walofanya wamezeeka,wapo walofanya wamezeeka,wapo walofanya wamezeeka.
ULIKUWA HUJUI wapo walofanya wamezeeka.

Tafuta watu wakufunze jiji iii
Usije weka viatu ndani ya friji iiii
Ilo gari moshi lipunguze spidi iiii
Kitulize kibabu icho kibibi iiii

Ewe kibakubakuuu sikiaaa,tunakuambia vibaya kupakazia.
Ewe kinyafu nyafu nyafuaa,kama umbea haujaanza wewe wapoo walozeeka.

WAPO WAMBEA WAMEZEEKA
kama umalaya fanya taratibuu uuuuuh
WAPO MALAYA WALOZEEKA.
Uwo uhuni nenda taratibu uuuh
WAPO WAHUNI WALOZEEKA.
Kama kuroga roga taratibu ,roga weweeeee
WAPO WACHAWI WALOZEEKA.
Uwo ulevi lewa taratibuuu uuuuuh
WAPO WALEVI WALOZEEKA.

Yee ni kwa niabaaaaaaaaaa,ya mitaaaaa,bwana angu eeeh bwana angu,
Revolution,boss malefti tua dundooooooo, diblo one touch a a a a aa a a a a a a aa a a a a…

BINGILI CHALI CHALI apo kati chali
BINGILI CHALIII SIJAONA CHAALI
BINGILI CHALII CHALI APO KATI CHALI
BINGILI CHALII CHALI

NA KAMA INGEKUWA NI CHAMA UKOO NINGEUWAMA,UDUGU WA VIKOBA MI SIWEZI KUBISHANA.

BINGILI CHALI CHALI apo kati chali
BINGILI CHAAALIII SIJAONA CHAALI
BINGILI CHALII CHALI APO KATI CHALI
BINGILI CHALII CHALI KULE NYUMA CHALI

NAULIZA MAPENZI ALIYEYALETA NANIII
NAMSAKA MWALIMU ,MPAKA LEO SIJAMPATA

BINGILI CHALICHALI APO KATI CHALIII
We mwali we mwali weeee tooka mwali wee
Muda umefika wa kusaza mwali,mwali mwalii tooka mwalii muda umefika wa kujimwaga mwaliiiiiii..

MAMA MWALI MMEMUONA MMEMUONA mmemuona mama mwali mmwali mmemuona
MAMA MWALI MMEMUONA MMEMUONA MAMA mmemuona mama mwali mmemuonaaaa
BABA MWALI MMEMUONA MMEMUONA mmemuaona baba mwali mmemuona
BABA MWALI MMEMUONA MMEMUONA BABAA
mmemuona baba mwali mmemuona

Wapo walofanya wamezeekaa….Weee Ali moo
Wapo walofanya wamezeekaaa…BINOOO
Wapo walofanya wamezeeka…SIMOOO
Wapo walofanya wamezeekaaaa…

ULIKUWA HUJUIIIII

ONE TOUCH.