Lava Lava – Najidai MP3 Download + Lyrics | eaVibes

Lava Lava – Najidai

Lava Lava Najidai
Lava Lava – Najidai

Lava Lava Najidai Mp3 Download Audio

WCB Wasafi Records talented singer, Lava Lava has released his new single titled “Najidai“.

The song “Najidai” where Lava Lava sings for the on he love. Produced by Lizer Classic and Nusder Venom.

It comes after his previous songs “Ipekeche“, ‘Wamepagawa‘, ‘Corona‘ and ‘Tekenya Remix‘ with Rayvanny

Listen and share your thoughts below:

Lava Lava – Najidai MP3 Download

Lava Lava Najidai Lyrics

[Verse 1]
Aaaaaah!Aaaaaah!
Aaah Aaaaaaaah!

[Verse 1]
Nenda Mwambieni
Aliniacha Hohehae
Zimfikie Salamu
Sasa Nala Pensheni
Kuchikuchi Hotae
Nishapata Kinyama Chahamu
Waaala Tusingefika Mbali
NIiona Dalili
Bora Kila Mtu Kivyake
Waaala Mapenzi Si Ujabarii Asikalili
Akadhani Yuko Pekeyake
Eenh Sasa Niko Huru Staki Kusafa
Nanenepa Nina Nuru Bila Baafa
Wale Mandege Makunguru Walinichachafya
Mambo Yakawa Vururu
Nikahama Tarafa

[Chorus]
SaaS a
Najidai Najidai
Nimempata Mpenzi
Ooh Saasa
Najidai Najidai
Nimepata Mtetezi
Mii Siina
Sina Wasiwasi Nanenepeana
Zawauma Roho
Ooh Sina
Mahaba Yamwendo Kasi
Si Twapeana Wachafukwe Roho
Mii Siina
Sina Wasiwasi Nanenepeana
Zawauma Roho
Mwenzenu Sina
Mahaba Yamwendo Kasi
Si Twapeana Wachafukwe Roho Ooh

[Verse 2]
Naweka Wazi Bila Kwikwi
Hadharani Nanena Mnisikiee
Mbona Mtachonga Viazi
Wanafiki Mkikesha Kusema Ya kwetu Sie
Mimi Na Yeye Mpaka Parapanda Neng’enekeni
Karogeni Mshinde Kwa Waganga
Nazi Vunjeni
Kazaneni Endeleeni Kuchamba
Yote Seemeni Semeeni
lla Mtaisoma Namba
Eeh Sasa Niko Huru
Staki Kusafa
Nanenepa Nina Nuru Bila Baafa
Wale Mandege Makunguru Walinichachafya
Mambo Yakawa Vururu
Nikahama Tarafa

[Chorus]
Saasa
Najidai Najidai
Nimempata Mpenzi
Ooh Saasa
Najidai Najidai
Nimepata Mtetezi
Mii Siina
Sina Wasiwasi Nanenepeana
Zawauma Roho
Ooh Sina
Mahaba Yamwendo Kasi
Si Twapeana Wachafukwe Roho
Mii Siina
Sina Wasiwasi Nanenepeana
Zawauma Roho
Mwenzenu Sina
Mahaba Yamwendo Kasi
Si Twapeana Wachafukwe Roho Ooh