VIDEO: G Nako ft. Femi One – Tu Come

G Nako Tu Come
G Nako ft. Femi One – Tu Come

G Nako Tu Come Video Mp4 Download

Tanzanian sensational singer, G Nako has released the music video for his latest single, “Tu Come“.

G Nako’s song “Tu Come” is a potential number which features Tanzanian music queen, Femi One.

The song “Tu Come” was produced by hit-maker, Traxx. It serves as G Nako’s debut for the year.

Moreover, the song is off G Nako’s forthcoming project expected to be announced soon.

STREAM AUDIO

Watch and share your thoughts below:

G Nako ft. Femi One – Tu Come VIDEO MP4

G Nako Tu Come Lyrics

Mwanangu sina dakika mwanangu
Ukikata sijui ntaongea vipi
Nina upwiruu

Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Leo kheee

Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Utacome,ama mi nicome
Ni kwa zamu au nipo zamu?
Tucome (Toto), tucome (Toto), tucome (Toto)
Tucome (Toto), tucome (Toto), tucome (Toto)
Tucome, tucome

Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Ni kwa zamu au nipo zamu?
Tucome (Toto), tucome (Toto), tucome (Toto)
Tucome (Toto), tucome (Toto), tucome (Toto)
Tucome (Toto), tucome (Toto)

Kishikwambi leo nipo kambi
Nikadhambi au si kadhambi
Nipo gym sikati kitambi
Ni kapesa weka kachambi chambi

Kata simu watu tupo site
Ukibanwa ma mi nipo tight
Naliwasha ni set mood right
Micharazo humu ndani ti chi

Nikamtukano yaani kameet-ing
Si tukutane tupige meeti-ng

Kamsimamo hakilaliki
Ni makelele ni halaiki

Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi come
Utacome ama mi nicome
Ni kwa zamu au nipo zamu?
Tucome (Toto), tucome (Toto), tucome (Toto)
Tucome (Toto), tucome (Toto), tucome (Toto)
Tucome, tucome

Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Ni kwa zamu au nipo zamu?
Tucome (Toto), tucome (Toto), tucome (Toto)
Tucome (Toto), tucome (Toto), tucome (Toto)
Tucome, tucome

Ndo hiyo ndo hiyo
Utacome au kuna jam
Utacome au huna hamu
Ni patamu au si utamu
Ni kwa nje au kwa ndani
Nipo nje basi uje ndani
Kuperform maana niperform
Bibititi Darisalaam, popopipi palipapu

Usije nichomesha mahindi yeh
Kajafanya nikamaindi yeh
Tumalocation faindi yeh
Nikutumikishe kihindi yeh
Kuchi kuchi hotae
Kwichi kwichi wallaah
Ndichi ndichi
Nikupitishe kwenye miti mamaee
Unalipa ila mi silipi

Unashika,ila mi si shiki

Naivuta haivutiki

Chupi fupi ila haivuki kivipi