Zuchu – Hasara MP3 Download | eaVibes

Zuchu – Hasara

Zuchu Hasara
Zuchu – Hasara

Zuchu Hasara Mp3 Download Audio

WCB Wasafi Records newly signed songstress, Zuchu has unlocked her new record dubbed “Hasara“, a birthday gift.

Zuchu’s new song “Hasara” comes after her previous songs “Shangilia“, “Nobody” with Joeboy, “Litawachoma” and  ‘Cheche‘.

The song was produced by Tanzanian hit-maker, Mr Lg and Lizer Classic. Also check out her recent work, “Side 2 Side” EP.

Listen and share your thoughts below:

Zuchu – Hasara MP3 Download

Zuchu Hasara Lyrics

[Verse 1]
Mi Staki Tuongee
Moyoni Nna Machungu Machungu
Nsije Tenda Dhambi Mhh
lla Chozi La Mnyonge
Malipo Ni Kwa MUNGU Kwa MUNGU
Bora Nihame Kambi
Mmhh Mhh
Kama Subira Ina Mwisho
Ina Mwisho Wake Manaa
Asali Umeimaliza Mzinga
Ukanifanya Tahira
Suluhisho Nimeona Kwako Hamnaa
Moyo Wangu Si Wa Mninga Najitoa
Tunagombana Kwa Vitu Vidogo
Kosa Si Kosa Unageuka Mbogo
Huna Dogo Wewe
Hunipendi Unang’ong’a Kisogo
Punda Siendi Eti Bila Magongo
Mpenda Zogo Wewe

[Bridge]
Kukupenda Tenaa Sitakii
Nimekomaaah Sitakii
Kukuonaa Sitakii
Mhhh
Narudia Tena Sitakii
Kukuonaa Sitakii
Nimekoma Sitakii

[Chorus]
Bora Nihesabu Kua Penzi Nimepata
Hasara Haa Ooh Hasara!
Hasara Haa
Hasara Hasara
Hasara Roo Penzi Limekwenda Zake
Hasara Haa (Hasaranii)
Hasara Haa (Hasarani)
Hasaraa Hasaraa